WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Habari ndugu wana jf..
Naitwa JAMES PETER ni mtumishi mwalimu idara ya Sekondari niko ROMBO KILIMANJARO
Natafta mtu wa kubadirishana kituo cha kazi anae Toka BUSOKELO MBEYA.
Aliye tayari tuwasiliane ani PM au nipigie 0625841197

ASANTE!
Njoo KATAVI. Jirani na mbeya
 
Jaman kwa walimu mnaotaka kuhama/kubadilishana vituo vya kazi kuna application moja unaweza ukajisajiri ukapata watu wa kubadilishana nao wapo wengi na utapata details zao
Tembelea www.hamafasta.com
Itume kwenye magroup na whatasup inaweza kuwasaidia wengine.
 
Back
Top Bottom