YAKUTA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 413
- 185
njoo pwani-mafiaMimi ni mwalimu kada ya secondary nipo rombo natafuta mwalimu Wa kibadirishana nae kituo cha kazi kwa mikoa ya pwani morogoro hata tanga mwenye kuhitaji ani PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
njoo pwani-mafiaMimi ni mwalimu kada ya secondary nipo rombo natafuta mwalimu Wa kibadirishana nae kituo cha kazi kwa mikoa ya pwani morogoro hata tanga mwenye kuhitaji ani PM
Njoo KATAVI. Jirani na mbeyaHabari ndugu wana jf..
Naitwa JAMES PETER ni mtumishi mwalimu idara ya Sekondari niko ROMBO KILIMANJARO
Natafta mtu wa kubadirishana kituo cha kazi anae Toka BUSOKELO MBEYA.
Aliye tayari tuwasiliane ani PM au nipigie 0625841197
ASANTE!
Tabora wilaya ganiNjoo Tabora nije Rukwa au Katavi, idara ya Msingi,
0786-145922
0767-145922
njoo arusha mimi nije dar,kibaha au chalinze idara ya msingi
UyuiTabora wilaya gani
moro sehem ganiMi nipo Mwanza nataka kuhamia moro
Njoo Mbinga nije mbeya (V)(M)songwe,mbozi,chimala,rujewa,chunya, umalila,ileje, idara secondary
Kama vipi nicheki hapa 0676212588Nicheki kwenye namba yangu 0712344257
Baki hukohuko malifimboNjoo tunduru mjini mm nije Makambako au iringa mjini idara ya sekondari