Lakin mbona wilaya uliyopo nayo sio mbaya kimaisha? Ila huenda una fata familiaNjoo kilosa mm nije rungwe idara ya msingi 0752994777
niulizie alie iringa dc idara sec nataka kuja hukoNjoo Iringa dc nije mbeya dc, shule ya msingi.
Huo uhakiki utaendelea mpk mwakan???uhakiki bado mnabadilishanaje ninyi siyo ugali huu