WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
mwalimu wa shule ya msíngi majojoro Iliyopo Sikonge mkoa wa Tabora.. Natafuta wa kubadilishana nae aliyepo mikoa ya kusini kama iringa, mbeya, njombe au ruvuma
 
Nipo manispaa ya kigoma/ujiji nataka mtu wa kutoka manispaa ya lindi au mtwara mikindani ,idara elimu secondary
(Manispaa kwa manispaa tu)
Aliye tayari tuwasiliane
 
Njoo Njombe Mji WAJE (watu wa3)Maeneo yafuatayo

Kilimanjaro (marangu)
Bagamoyo
Arusha Tc
Kibaha
Chalinze
Korogwe
Tanga jiji
Idara sec 0759007829
 
Nipo mwanza- kwimba idara ya seco, nataka kuhamia morogoro- mvomero au kilosa, tuwasiliane kwa Namba 0622900502
 
Njoo Njombe Mji WAJE (watu wa3)Maeneo yafuatayo

Kilimanjaro (marangu)
Bagamoyo
Arusha Tc
Kibaha
Chalinze
Korogwe
Tanga jiji
Idara sec 0759007829
 
Njoo mtwara nije mikoa ifuatayo wilaya yeyote..
Mbeya
Iringa
Njombe
Songwe
Idara secondary.. 0768505950 na 0656121703
 
NJOO TANGA(Kilindi) NIJE BUSEGA,BARIADI,MAGU,CHATO,MISUNGWI&KWIMBA.Idara sec.no:0683067511/0769325378
 
Back
Top Bottom