Mwl.Deogras Kivike nipo idara ya sekondari Muleba,natafuta Mel wa kubadilidhana kati ya Mbeya jiji,Dodoma,Iringa au Mori nitafute kwa namba 0753805117,0658051172 thanx.
Kwa mwalimu yoyote anayetaka kuhamia halmashauri ya Kasulu mkoa wa Kigoma tuwasiliane kupitia simu namba 0714963829,0768183143 na 0786375069.KARIBUNI KASULU.
Karibu wilaya ya Kasulu mkoa wa kigoma kwa mwalimu anayehitaji kuamia wilaya hii,idara ya sekondari tuwasiliane kwa namba hizi 0714963829,0768183143 na 0786375069.KARIBUNI KASULU
Binas@ tangazo lako alieleweki,uko arusha unaitaji kwenda wapi??je ww au unae mtolea tangazo ni mwl msingi au sec?if possible tuwasiliane kwa NO.0712872378
Mimi ni mwalimu idara ya elimu msingi nafanya kazi katesh wilaya ya hanang' manyara.natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi kutoka kilombero morogoro.kwa mawasiliano zaidi piga no:0686 38 71 32 au 0685309032
Mimi ni mwalimu idara ya elimu msingi katesh wilaya ya hanang' mkoa wa manyara.natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi kutoka kilombero morogoro.kwa mawasiliano piga no.0686387132
Mimi ni mwalimu idara ya elimu msingi. Katesh wilaya hanang' manyara.natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi kutoka kilombero morogoro.kwa mawasiliano piga na 0686387132