WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo geita wilaya ya chato taun nije moro manispaa au mvomero au dodoma manispaa.0713434286
 
Mwi ASHA yupo TABORA-MANISPAA idara (sec) kwa mwl aliye Dar wilaya yoyote piga cm na 0756231236 au 0766953956
 
NIPO MTWARA MANISPAA YA MIKINDANI (SEC) NATAFUTA Mwl WAKUBADILISHANA KUTOKA MANISPAA YOYOTE YA JIJI LA DAR AU morogoro na0756231236 au 0713457989
 
njoo TANGA mimi nije kibaha,bagamoyo kisarawe au dar!nipo sehemu nzur karibu kabisa na jiji.idara secondary.
 

Wewe unyejiita man pc huna lolote tofauti na ujinga pamoja na makuz yanayokusumbua ukiwa mkubwa utaacha hayo unayoyafanya.usiwe limbukeni wa mtandao
 
SHUKRANI WADAU. Nashukuru kwa ushirikiano mlionipa katika kutafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi. nimeshapata nafasi ya kuhamia mwanza toka HAI kilimanjaro. naendelea na mchakato wa tamisemi.
 
Kama vp njoo geita chato nije moro taun au manispaa au njoo mara serengeti nije moro taun au mvomero au dodoma manispaa
 
Nipo Magu mjini/msingi. Kama unatokea pande za Morogoro, mkuranga, kibaha , bagamoyo au Dar ni-pm
 
mwl idara ya sekondari nahitaji aliyepo jiji mwz tubadilishane yeye aje sengerema.
Mawasiliano,0752530592
 
Waungwana wa mtwara , lindi , seondari , njooni chunya makongolosi me nirudi kwetuuuu... Call me 0713415851
 
Jaman anahitajika Mwl wa sekondari wa kubadilishana aende kilwa masoko,,mdogo wangu ahamie kibaha,Dar,Bagamoyo,mkuranga...aliye tayari ani PM

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
mwalimu anayetaka kuhama kama yupo mbeya wilaya yoyote anataka kwenda mtwara newala anitafute kwa no: 0682813771
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…