Kama atasahau kutangaz itakuwajeHivi ni kweli Rais amefuta uhamisho wa nje ya mkoa? Maana nilikuwa halmashauri wamesema uhamisho umesitishwa mpaka Rais atakapotangaza tena
Hawapitishi barua ndo majibu niliyopata toka kwa mkurugenz wanguUhamisho wenyewe upo?