WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo LUSHOTO tanga idara ya msingi nije Kilimanjaro au Arusha wilaya yoyote 0758121253
 
Aje mtu Tukuyu mke wangu arudi Dar es salaam Kinondoni au Ilala 0718890919
 
Njoo Tanga jiji nije moro manispaa, kibaha,chalinze,mlandizi au dar
Idara sec.0713142568
 
Njoo Kilindi (Tanga) nije Busega,Bariadi,Itilima,Magu,Maswa au Misungwi.Idara Secondary,piga simu no:0685252858
 
Hivi ni kweli Rais amefuta uhamisho wa nje ya mkoa? Maana nilikuwa halmashauri wamesema uhamisho umesitishwa mpaka Rais atakapotangaza tena
 
Nipo mtwara -Newala mji nahtaji kutoka kanda hii ya kusini kwa yoyote tuchekiane
Idara ya msingi
 
Kuna ndugu yangu amepata kifafa ni mwalimu niko napitisha kwanza barua za kumuombea nafasi,then natimba Tamisemi sijui watamkubalia au la!!mpk kichwa kinaniuma
 
Back
Top Bottom