Nipo Mtwara wilaya ya newala mJi nahitaji wakubadilisha nae kutoka katka miko hii
Morogoro
Mwanza
Ruvuma
Mbeya
Iringa
Kilimanjaro
Bukoba
 
Hivi ni kweli Rais amefuta uhamisho wa nje ya mkoa? Maana nilikuwa halmashauri wamesema uhamisho umesitishwa mpaka Rais atakapotangaza tena
walshasitsha ktambo sana thats why hata wa mwez wa 6 na wa 12 hadi leo kimya.
 
Naitwa chaz libongi,mwalim wa msingi kwimba.Natafuta wa kubadilishana nae mimi nije morogoro mjini,mvomero,moro vijijini.Mkuu wa Ikulu akiruhusu tu,basi tuwasiliane kwa 0754-384094 over.
 
NJOO SONGEA DISTRICT-RUVUMA NIJE…
KISARAWE
CHALINZE
BAGAMOYO
KIBAHA
MKURANGA
RUFIJI
DAR ES SALAAM

... IDARA SEC
... 0786262823
 
Njoo Tanga jiji nije moro manispaa, kibaha,chalinze,mlandizi au dar
Idara sec.0713142568
 
Njoo Tanga jiji nije moro manispaa, kibaha,chalinze,mlandizi au dar
Idara sec.0713142568
 
Njoo Tanga jiji nije moro manispaa, kibaha,chalinze,mlandizi au dar
Idara sec.0713142568
 
Njoo Mbeya tukuyu me nije Dar wilaya yoyote 0718890919 ngazi S/ Msingi
 
Walimu bwana ni stress sana, mtoamada amewashauri mapema sana kuhusu kuanika nambazenu hapa Jf lakini nyie waaaala
 
Walimu hadi leo mnaitana itana njoo wapi njoo wapi wakati uhamisho umefutwa
 
Walimu wameathirika kisaikolojia mkuu, hawaelewi hata kinachoendelea duniani
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
barua imetoka uhamisho hakuna.wao wapo bize njoo njoo ha ha ha walimu bana sometimes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…