Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walshasitsha ktambo sana thats why hata wa mwez wa 6 na wa 12 hadi leo kimya.Hivi ni kweli Rais amefuta uhamisho wa nje ya mkoa? Maana nilikuwa halmashauri wamesema uhamisho umesitishwa mpaka Rais atakapotangaza tena
Anayetaka Dar elimu sekondary kinondon idara sek tafadhar mim hata sumbawanga kigoma poa
Walimu wameathirika kisaikolojia mkuu, hawaelewi hata kinachoendelea dunianiWalimu hadi leo mnaitana itana njoo wapi njoo wapi wakati uhamisho umefutwa
Mkuu hao wapo wapo tu hawajui kinachoendelea, waache waendelee kuitanaHIVI WALIPOSEMA HAKUNA UHAMISHO WE UMEELEWA NINI?
😀😀😀😀😀😀😀😀Walimu wameathirika kisaikolojia mkuu, hawaelewi hata kinachoendelea duniani