balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Nenda minaki nipe mm hyo plizAnayetaka Dar elimu sekondary kinondon idara sek tafadhar mim hata sumbawanga kigoma poa
Sema kweli upo seriousNjoo morogoro nije kibaha
Idara secondary
na barua zimefika wilayani waache waendelee kujifurahishaMkuu hao wapo wapo tu hawajui kinachoendelea, waache waendelee kuitana
Wenzako wanapatamani mjini ww unapakimbia!Anayetaka Dar elimu sekondary kinondon idara sek tafadhar mim hata sumbawanga kigoma poa
[emoji23] watu wanajua kutumia fursa,haya wadada walimu waliopo single kazi kwenuMimi sio mwalimu... ila naahidi ndoa kwa mwalimu wa kike shule ya msingi atakaependa kufanya kazi Dodoma Mjini (awe na umri chini ya miaka 25).
Sasa wewe sio mwalimu umekuja kufanya nini kama sio shobo? Tuliza mshono mama.nenda kanyee nyambafuuuWalimu hadi leo mnaitana itana njoo wapi njoo wapi wakati uhamisho umefutwa
Nmekusamehe bureeeSasa wewe sio mwalimu umekuja kufanya nini kama sio shobo? Tuliza mshono mama.nenda kanyee nyambafuuu
Mkuu kuwa mstaarabu kidogo unapojibu hoja unayoona imekugusaSasa wewe sio mwalimu umekuja kufanya nini kama sio shobo? Tuliza mshono mama.nenda kanyee nyambafuuu
Hoja ikiletwa kistaarabu inajibiwa kistaarabu ikiletwa kijingajinga inajibiwa kijingajinga..we unahisi yeye ametumia Lugha nzuri?Mkuu kuwa mstaarabu kidogo unapojibu hoja unayoona imekugusa
[emoji54][emoji54][emoji54]Hoja ikiletwa kistaarabu inajibiwa kistaarabu ikiletwa kijingajinga inajibiwa kijingajinga..we unahisi yeye ametumia Lugha nzuri?
Nipo seriousSema kweli upo serious