WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
🙂🙂🙂🙂🙄🙄jamani majina ya uhamisho tamisemi wanatoa lini??????????????????? dah tumechoka kusubiri while vigezo tumekidhi,,,,,,,,,,
 
Mimi sio mwalimu... ila naahidi ndoa kwa mwalimu wa kike shule ya msingi atakaependa kufanya kazi Dodoma Mjini (awe na umri chini ya miaka 25).
[emoji23] watu wanajua kutumia fursa,haya wadada walimu waliopo single kazi kwenu
 
Njoo masumbwe geita Mimi nije mbeya au songwe wilaya yoyote idara sekondari...
 
Mimi ni mwalimu wa Shule ya msingi nafundisha Wilaya ya Temeke Dsm, nataka mwalimu wa kubadilishana kutoka Ubungo. Yeye aende Temeke mimi nije Ubungo. Nina Tsd
 
Nimeenda kushughulikia uhamisho wa ndugu yangu ambaye anaumwa kifafa nimembiwa kwa msaada tu naweza kupata,lkn ukweli ni kwamba uhamisho HAKUNA na utaruhusiwa lini haijulikani,Kwa mujibu wa Ofisi ya UTUMISHI
 
Njoo malinyi morogoro itete sekondari nije lushoto,tanga jiji, moshi (m) au moshi(v)
 
Njoo Tanga jiji nije moro manispaa, kibaha,chalinze,mlandizi au dar
Idara sec.0713142568
 
Njoo Tanga jiji nije moro manispaa, kibaha,chalinze,mlandizi au dar
Idara sec.0713142568
 
Njoo Tanga jiji nije moro manispaa, kibaha,chalinze,mlandizi au dar
Idara sec.0713142568
 
Back
Top Bottom