Hivi hizi mambo ya uhamisho si zimesitishwa mpaka itakavyoamuliwa vinginevyo au wamesharuhu?mana nimesitisitsha harakati za kuhama baada ya tangazo hilo.
 
hivi kuhamishana bado kupo kweli?au tunatafutana mapema ili milango ikifunguliwa tusihangaike?
 
Tangazo Tangazo
Njoo tanga jiji nije Moro town, Iringa town kibaha,Chalinze au dar.idara sec
0713142568
 
natafuta mwalimu wa kubadirishana naye kituo cha kazi,,,yeye aje mkoa wa kigoma WILAYA ya Kakonko mimi niende mkoa wa kagera,wilaya ya karagwe,,kama yupo naomba tuwasiliane please
 
Yeye aje kahama mji mimi nije dar es saalam wilaya yoyote kama uko serious nichek my contact 0719 939078 au 0742 765690
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…