OK!! Ila chunya saiz imegawanywa mfano chunya mjini ipo mkoa wa mbeya ila mkwajuni ipo mkoa wa Songwe na Mkwajuni ni halmashauri mpyaElimu Msingi : aje geita mie nije chunya mbeya.
Mkuu nahitaji chunya ya mbeya. Sio mkwajuni songweOK!! Ila chunya saiz imegawanywa mfano chunya mjini ipo mkoa wa mbeya ila mkwajuni ipo mkoa wa Songwe na Mkwajuni ni halmashauri mpya
any way utapata
Ok kiongoziMkuu nahitaji chunya ya mbeya. Sio mkwajuni songwe
Ndaga fijo kiongoziOk kiongozi
Sekondar mkuuMwalimu wa msingi au sec.
Sekondar mkuuMwalimu wa msingi au sec.
Njoo mafiaNjo tanga nije pwani
Nachingwea shule gani? Mi nipo mkuranga nataka kuna nachingweaNjoo nachingwea nije mkuranga,rufiji
0719697054
Nimejiunga ila sioni zaidi ya kuona tarifa zangu tuu ishu ya kubadilishana naionaje?Utumishi wameboresha huduma hiyo ya kubadilishana.Unachotakiwa kufanya fungua website ya UTUMISHI, kwenye ukurasa wake kushoto utaona UTUMISHI portal ,kajisajili utafanikiwa kukutana na wanaoomba kubadili vituo vya kazi kwenda uliko.
Njoo Babati so mbali na Moshi. Mimi nije huko.Morogoro DC nataka kwenda Moshi au Hai, secondary