Mimi nipo Ilala DSM shule ya sekondari Mvuti.
Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae kituo aliyeko Wilaya ya Ilemela Mwanza. Nyaraka zote husika ninazo kwa Mwenye kuhitaji kutoka Ilemela Mwanza kuja Ilala DSM ani PM mapema.
 
Niko Ilala DSM Mwalimu shule ya sekondari. Kama wewe ni mwalimu wa sekondari na upo Wilaya ya Ilemela Mwanza unahitaji kuja DSM naomba uni pm mapema basi tufanye mchakato!
 
Usijali mkuu, taratibu tutafika naamini utampata tu wa shule ya msingi.Na Mimi naendelea kumtafuta wa Ilemela, wa sekondari bado.
 
kuna mwalimu yupo mpwapwa dodoma anataka aende kilombero so ni pm kama upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…