WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mimi nipo Ilala DSM shule ya sekondari Mvuti.
Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae kituo aliyeko Wilaya ya Ilemela Mwanza. Nyaraka zote husika ninazo kwa Mwenye kuhitaji kutoka Ilemela Mwanza kuja Ilala DSM ani PM mapema.
 
Niko Ilala DSM Mwalimu shule ya sekondari. Kama wewe ni mwalimu wa sekondari na upo Wilaya ya Ilemela Mwanza unahitaji kuja DSM naomba uni pm mapema basi tufanye mchakato!
 
IMG-20170327-WA0000.jpg

hivi hili tangazo lina ukweli au ni la uongo tu lakutengeneza? wadau naomba mnisaidie!
 
Usijali mkuu, taratibu tutafika naamini utampata tu wa shule ya msingi.Na Mimi naendelea kumtafuta wa Ilemela, wa sekondari bado.
 
kuna mwalimu yupo mpwapwa dodoma anataka aende kilombero so ni pm kama upo
 
Back
Top Bottom