petrocaptain
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 211
- 122
Hakuna uhamisho unaofanyika nje ya mkoa kwa sasa.Nimeuliza TAMISEMI kwa uhakika.Nasisitiza hakuna...Chanzo Changu ni cha kuaminika.Kiongozi hii inamaanisha kwa sisi ambao mchakato unaendelea kwa mkurugenzi unasubiri uhakiki upite au laa? Nauliza hivi kwa sababu mimi nimeshapata nafasi halmashauri ninayotaka kuhamia lakini nilipopeleka barua kwenye halmashauri yangu nilipo sasa nikaambiwa barua haitashuhulikiwa kwa sasa hadi vibali vitakapotolewa tamisemi. kwa maelezo yako hapo juu inaonekana wao wa halmashauri wanaweza kuandika tu barua ya kuomba kibali kwa katibu tawala na barua ikaenda kusubiria kibali Tamisemi. Tafadhali nielimishe zaidi isije ikawa halmashauri yangu inanicheleweshea uhamisho wangu.
Asante sana.
Mimi ninabarua ya jamaa yangu amehama juzi toka Lindi kwenda geita hapo unasemaje?Hakuna uhamisho unaofanyika nje ya mkoa kwa sasa.Nimeuliza TAMISEMI kwa uhakika.Nasisitiza hakuna...Chanzo Changu ni cha kuaminika.
Kwa hilo sina maelezo.Inawezekana wapo wachache wanaohama kwa sababu maalumu.Mimi ninabarua ya jamaa yangu amehama juzi toka Lindi kwenda geita hapo unasemaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo Tanga mkuu halmashauri ya BumbuliMimi ni mwalimu niko mkoa wa Arusha wilaya ya monduli. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje mko wa Arusha mimi niende mkoa wa Kilimanjaro Wilaya yoyote.
We mwenekazi nga cheni kuli chii kuo??
Mkombe ngalele ayazeeWe mwenekazi nga cheni kuli chii kuo??
[emoji14] [emoji14] [emoji14]
Sent using Jamii Forums mobile app
VP shinyanga hapa mjini unaweza kuja nije chatoNjoo chato nije Mwanza
Post sent using JamiiForums mobile app
Mi nipo shy kama unaweza nije chatoNjoo chato mkoa WA geita nije moshi manspaa idara sec njoo pm kama upo tayar
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu japo siwezi kupinga taarifa yako Ila kote hakuna taarifa za uhamisho kuwa unaendelea kama kawaida.NARUDI KULETA UPDATES ZA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMA,
HAKIKISHA UNAELEWA VIZURI MAANDIKO YANGU
Hiv karibuni nilitoa updates kuhusu uhamisho wa watumishi wa umma.
Uhamisho ulishafunguliwa baada ya uhakiki kumalizika mwezi March 2017,
Kuna baadhi ya wakurugenzi wanawasumbua watumishi kwa kusema hawana barua na sababu zingine hao wakurugenzi waambieni watimize wajibu wao na ikiwezekana, waombeni wasaini hizo barua hata kwa kutoruhusu uhame, na ukisha ipata ipeleke mkoani wakitaa muombe akukatalie kwa maandishi yaani akusaini na kuweka recomendetion yake,
Ukisha maliza hapo njoo mwenyewe TAMISEMI NA BARUA ZAKO,
Kama unavigezo vya kuhama kibali kinatoka baada ya wiki mbili tu,
NB
KWA WALE WANAFUATA MKE AU MUME LAZIMA AWE NA CHETI CHA NDOA HALALI
NADHANI NIMEELEWEKA WATUMISHI