WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
NJOO BARIADI-ITILIMA SIMIYU NIJE POPOTE KAMA:-
DAR
MOROGORO
DODOMA
PWANI(KIBAHA,KIBITI,BAGAMOYO etc)
IDARA SEKONDARI
0785294160/0754226375
 
naitwa patrick nyoni niko shinyanga kishapu idara ya elimu msingi natafuta mwl wa kubadilishana mikoa ya mbeya iringa dodoma moro na tanga wilaya yeyote ile
 
naitwa patrick nyoni niko shinyanga kishapu idara ya elimu msingi natafuta mwl wa kubadilishana mikoa ya mbeya iringa dodoma moro na tanga wilaya yeyote ile
Nahitaji wakubadilishana Njoo Tandahimba nije Mkuranga au Temeke 0715124184 elimu sekondari
 
Kama upo wilaya ya Hai eneo la bomang'ombe au jirani na maeneo hayo na unataka kuhamia Tanga mjini idara ya msingi tuwasiliane tubadilishane.naomba uje pm
 
Niko Halmashauri ya Bumbuli natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo awe Mkoa na wilaya yoyote ani pm
 
Njoo lushoto tanga nije korogwe, Kilimanjaro popote idara ya msingi 0758121353
 
SAMAHANI WALIMU NIMEWAVAMIA, AFISA KILIMO NJOO HANDENI TANGA, NIJE IRINGA SEHEMU YEYOTE, MAKETE, NJOMBE. 0716999727.
 
Nahitaj kubadilishana na mwalimu aje singida nije iringa, dar es salam, kibaha, bagamoyo, morogoro. Idara sekondari 0758129421
 
Back
Top Bottom