Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
njoo mbeya, ila mchakato ni sasa 0744727033Niko chato geita mwalimu sekondary language napenda kuhamia mikoa ifuatayo:
Iringa
Mbeya
Morogoro
Mwanza
Rukwa sumbawanga.
Aliyetayari tuwasiane kwa kuni pm tuanze mchakato january
tuwasiliano 0744727033Njoo Mwanza nije Mbeya
Idara ni Sec.
NITAFUTE KWA NAMBA HIINJOO MBEYA NIJE GEITA 0744727033 NIPE MAWASILIANO YAKO LEO
Watakuja!! Pia mwingine aliye tayari nenda Songwe mkoa mpya Yeye aje Mkoa wa mbeya wilaya yoyote Elimu sekondari 0624066656
IDara ipi na je, vipi kuhusu Handeni - Tanga nauli to Dar ni tsh.12,000/= , masaa matano.Habari wana jamvi
Kwa yeyote ambae anataka kutoka dar kwenda mbeya tuwasiliane mana mi nimepangiwa mbozi nataka kwenda dar es salaam sasa kwa yeyote aliye tayari tuwasiliane inbox
Aisee kama vipi hebu nicheki kwa 0753533877. Mi niko kakonko idara secTangazo kutoka kwa mdogo wangu
Natafuta MWL Wa kubadilishana naye kituo cha kazi, aje halmashauri ya Wilaya Muleba nami niende kati ya Wilaya ya Kibondo au Kakonko mkoa Wa Kigoma. Kama uko tayari wasiliana nami na kama una ndg anahitaji kufanya hivyo mtalifu.
Wasiliana nami kwa namba 0713914633