Njoo lushoto tanga nije
1.korogwe,
2.Kilimanjaro wilaya yoyote
idara ya msingi
0758121353
 
Niko chato geita mwalimu sekondary language napenda kuhamia mikoa ifuatayo:
Iringa
Mbeya
Morogoro
Mwanza
Rukwa sumbawanga.
Aliyetayari tuwasiane kwa kuni pm tuanze mchakato january
njoo mbeya, ila mchakato ni sasa 0744727033
 
Habari zenu Wadau!

Niko Handeni - Tanga, idara ya Sekondari.
Shule iko barabara kuu ya kwenda Korogwe (Nauli ya kwenda Korogwe ni Tsh.2,500/= (na muda wa kufika Korogwe ni nusu saa). Pia ukitaka kwenda Dar nauli ni Tsh.12,000/= kutoka Shule ilipo kwa muda masaa matano tu unawasili Ubungo..... Ziko gari za saa kumi na mbili asubuhi kwenda Dar, Saa mbili, Saa nne, saa sita na saa tisa.

NJia ni Lami tu hakuna vumbi ukitaka kufanya Shughuli zako za kiofisi.

Natafuta mtu wa kubadilishana naye aje Handeni mimi niende Wilaya ya Mbozi , Mkoa wa Songwe, Idara Sekondari na Masomo yangu ni English na Kiswahili.

Kwa anayemjua mwenye hitajio hili anifuate In box ...............
 
Njoo Lushoto Tanga nije
  • Korogwe
  • Hai Kilimajaro
  • Same
  • Mwanga
  • Moshi v
  • Rombo
  • Siha
Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353
 
Njoo Lushoto Tanga nije
  • Korogwe
  • Hai Kilimajaro
  • Same
  • Mwanga
  • Moshi v
  • Rombo
  • Siha
Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353
 
Njoo Lushoto Tanga nije
  • Korogwe
  • Hai Kilimajaro
  • Same
  • Mwanga
  • Moshi v
  • Rombo
  • Siha
Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353
 
Habari wana jamvi
Kwa yeyote ambae anataka kutoka dar kwenda mbeya tuwasiliane mana mi nimepangiwa mbozi nataka kwenda dar es salaam sasa kwa yeyote aliye tayari tuwasiliane inbox
IDara ipi na je, vipi kuhusu Handeni - Tanga nauli to Dar ni tsh.12,000/= , masaa matano.
KIsha kuna gari tano kwa siku zinazokwenda Dar kwa muda tofauti tofauti na hii ni kila siku .
 
Aisee kama vipi hebu nicheki kwa 0753533877. Mi niko kakonko idara sec
 
Njoo Lushoto Tanga nije

* Korogwe
* Hai Kilimajaro
* Same
* Mwanga
* Moshi v
* Rombo
* Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353, 0684668425

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…