Njoo joo Lushoto Tanga nije

* Korogwe
* Hai Kilimajaro
* Same
* Mwanga
* Moshi v
* Rombo
* Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353, 0684668425

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Njoo dar mi niende kisarawe pwani
Elim sekondari...ukiwa tayarii njoo dm
 
Nataka wakubadilishana njoo halmashauri ya igunga mm nije dodoma manispaa, bahi au wilya ya chamwino idara ya elimu ya msingi aliye tayari anitafute inbox
 
Habari Wadau !

NIko Handeni - Tanga , idara ya Sekondari natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi, Yeye aje Handeni nami niende Mbozi - Songwe.

Shule niliyoko iko barabarani (barabara kuu ya Handeni to Korogwe) kutoka hapa tulipo mpaka Dar - Es - Salaam ni masaa matano tu na nauli yake ni Tsh. 12,000/=

Pia gari ziko kampuni zaidi ya mbili na zinafanya Safari za Handeni to Dar na Dar to Handeni mara tano kwa siku.

Yaani ziko gari za saa kumi na mbili asubuhi, saa mbili asubuhi, saa nne asubuhi, saa sita mchana na saa tisa jioni.........

Kampuni mbili maarufu Ajeez na Feruzi pia iko Air force n.k,
Pia ni jirani na Morogoro, njia nzuri ya kwenda Moshi na Arusha.......

KARIBUNI SANA KWA WENYE HITAJIO LA KUJA HANDENI NAMI NIENDE MBOZI - SONGWE.
 
Njoo joo Lushoto Tanga nije

* Korogwe
* Hai Kilimajaro
* Same
* Mwanga
* Moshi v
* Rombo
* Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353, 0684668425

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Mke Mwalimu anahitajika jamani na Mwalimu mwenzake waanze maisha msiwe mnataka tu kubadilishana vituo tunataka Familia wengine
 
NJOO NANYUMBU MTWARA ( MANGAKA) NIJE SONGEA MANISPAA. TUPO 2, MMMOJA NI SECONDARY NA MWINGINE MSINGI. TUNAPENDA KUHAMIA SONGEA.
 
Huu Uzi mtamu, [emoji23][emoji23][emoji23] nadhani hili ndilo jukwaa ambalo wale wenye ID fake wote wanakuwa wanajulikana kazi zao.
 
MWALIMU YUPO TANGA JIJI,AZIMIO SHULE YA MSINGI ANAHITAJI MWALIMU WAKUBADILISHANA NAE,AWE ANATOKA MOSHI,HAI AU SIHA..ALIYEKO TAYARI NJOO PM
 
Jamanieeee njoni morogoro ya malinyi kwenye ubwabwa wilaya iliyojirani na kilombero and ulanga nije iringa au mbeya idara ya sec..
 
Njoo joo Lushoto Tanga nije

* Korogwe
* Hai Kilimajaro
* Same
* Mwanga
* Moshi v
* Rombo
* Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353, 0684668425

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Mie nina mshikaji wangu anataka kwenda bagamoyo , kisarawe au kibaha yupo manispaa Songea
 
Natafuta mwalimu Wa kubadilishana nae atoke ubungo au ilala mi nipo kinindoni elimu sekondari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…