kahwajr2
Senior Member
- Jun 20, 2015
- 122
- 2
Tanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanga
Okay poa mkuuNahitaji Kasulu
Handen sehem gan??IDara ipi na je, vipi kuhusu Handeni - Tanga nauli to Dar ni tsh.12,000/= , masaa matano.
KIsha kuna gari tano kwa siku zinazokwenda Dar kwa muda tofauti tofauti na hii ni kila siku .
Sogea sogea hata Kakonko pako jirani tu one way to KasuluNahitaji Kasulu
Mke Mwalimu anahitajika jamani na Mwalimu mwenzake waanze maisha msiwe mnataka tu kubadilishana vituo tunataka Familia wengineWewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Njoo inbox
Ukipata wa kuja huko ujue huko atokako ana bonge la msalaJamanieeee njoni morogoro ya malinyi kwenye ubwabwa wilaya iliyojirani na kilombero and ulanga nije iringa au mbeya idara ya sec..
njoo tanga nije kilimanjaro