Njoo Busega(Lamadi) Simiyu mimi nije ,Babati ,Mbulu ,Monduli ,Tanga ,ALUMERU Kateshi,Kilimanjaro,Arusha.na Karatu .simu;0768746977
 
Nip itigi singida nataka kwenda halmashauri ya siha moshi 0753674598
 
Njoo ulanga shule iko karibu na ifakara mjini nauli 3000 nije wilaya yoyote ndani ya morogoro,idara ya sekondari 0656621626/0757937204
 
Njo

Njoo ruvuma mbinga idara secondari(sayansi)aje popote
 
Wale wanaopenda fursa za mkoani Kigoma.. Njoo Buhigwa(Manyovu) nije Pwani, Dodoma au Moro
 
Karibu sana wilaya Lushoto Tanga nije
1. Korogwe
2. Hai Kilimajaro
3. Same
4. Mwanga
5. Moshi v
6. Rombo
7. Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353
 
habari ndg,
Natafuta mwl wa sekondari wakubadilishana nae aje Mwanza, mm niende Arusha. Kwa alie tayari anichek pm.
 
habari ndg,
Natafuta mwl wa sekondari wakubadilishana nae aje Mwanza, mm niende Arusha. Kwa alie tayari anichek pm.
Kwani hizi mambo bado zipo? Nasikia siku hizi unaandika tu barua kwa DED unakotaka kuhamia ukiulizia kama kuna nafasi ya kuhamia. Baada ya hapo atakujibu kukujulisha kama nafasi ipo na utaendelea na hatua inayofuata!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…