WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Habari za leo ndg wataalamu....
Usajili Bado unaendelea hivyo Kama Bado haujajisajili Basi chukua hatua.
NI rahisi Sana kufanya usajiri wala haichukui muda mrefu Kisha unaendelea na shughuri zako.
Asante.
Muhimu sana ndg Mwl.
Nasisitiza Tena, wote wenye nia na mapenzi mema na STAT naomba mjisajiri.
Asante
INGIA HAPA
WWW.STAT.OR.TZ
KNDONI%20SCIENCE%20TEACHERS.%2020190527_022433.jpeg
IMG-20190612-WA0001.jpeg
 
Mim ni mwalimu wa shule ya msingi Nipo Masasi Mtwara. Natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kutoka mikoa yote ya kanda ya ziwa. mwasiliano 0785294747 au 0677191723
 
Idara ya Sekondari, Njoo Nyaghw'ale Geita nije Singida Manispaa
 
Habari ndg walim. Njoo mwanza jiji (nyamagana) nije Dar es salaam wilaya yyte. Idara msingi.
 
Back
Top Bottom