WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Habari,
Mods naomba uzi huu msiunganishe popote sababu uzi huu ni matokeo ya kitakachotokea mei mosi.

Nina uhakika kilichotangazwa au kuamliwa na naibu waziri Tamisemi ndugu waitara kuwa hakuna tena uhamisho kwa walimu tena mpaka kwa kibali maalumu,tangazo hilo litabadilishwa tarehe 1/5/2019 na Jpm.
Kilichofanyika na waitara ni mkakati wa kisiasa ili kuwahadaa walimu na ili rais jpm akitengua agizo hilo ashangiliwe na walimu na iwe rahisi kwake kuhutubia na asipate tabu ya shinikizo la nyongeza ya mshahara,katika kada zote kada ya ualimu ndiyo ambayo ina kero nyingi kazini.
Yangu machache.

Swelana.
Sijaelewa hata hicho kibali kinapatinaje?
 
Mimi mwl nipo wilaya ya mbarali mkoani mbeya,..nahitaji mtu wa kubadilishana nae nije dar,iringa au mbeya mjini 0765480111
 
Back
Top Bottom