WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mke ndo anamfuata mme,mke wako akujoin huko.Maisha ni popote pale
Not always mtu Wangu sometimes inakaa poa tu,inategemea yupo wapi na wewe upo wapi,after all ni wapenzi,that's only mental reactivity.
 
Documents zote muhimu ninazo,Shule ya msingi,Bumbuli na Hai kubadilishana.
 
Mimi mwlm wa shule ya sekondari Kayenzi iliyoko Manispaa ya Morogoro natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Morogoro mimi niende Manispaa ya Temeke jijini Dar. Nina miaka saba kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pleas
Njoo Tanga mimi nije kayenzi Morogoro nina
Mimi mwlm wa shule ya sekondari Kayenzi iliyoko Manispaa ya Morogoro natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Morogoro mimi niende Manispaa ya Temeke jijini Dar. Nina miaka saba kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pleas
Njoo Tanga nije Kayenzi 0658501069
 
mwalimu wa sekondari aliyepo arusha jiji anaetaka kuja mbeya jiji tuwasiliane
 
Njoo kahama mji (idara secondary) yeye aje kibaha,morogoro(mjini) Idara elimu sekondari
 
Habari,
Mods naomba uzi huu msiunganishe popote sababu uzi huu ni matokeo ya kitakachotokea mei mosi.

Nina uhakika kilichotangazwa au kuamliwa na naibu waziri Tamisemi ndugu waitara kuwa hakuna tena uhamisho kwa walimu tena mpaka kwa kibali maalumu,tangazo hilo litabadilishwa tarehe 1/5/2019 na Jpm.
Kilichofanyika na waitara ni mkakati wa kisiasa ili kuwahadaa walimu na ili rais jpm akitengua agizo hilo ashangiliwe na walimu na iwe rahisi kwake kuhutubia na asipate tabu ya shinikizo la nyongeza ya mshahara,katika kada zote kada ya ualimu ndiyo ambayo ina kero nyingi kazini.
Yangu machache.

Swelana.
 
Kumbe ni mbinu ee! Watu wanashangilia hilo na wanasahau hitaji lao la msingi.
 
Hili la line za CM leo nimeshangaa sana kwamba nalo lilipangwa..!!!
 
Njoo Kagera Bukoba cc nije Arusha jiji, arusha Dc, Longido etc. Idara Sekondari.
 
Back
Top Bottom