WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Jamani wale wa Mkoa wa Mara njooni Serengeti mimi nirudi Kilimanjaro,Arusha Idara ya Msingi.
 
Wanaotaka kuja biharamulo mtaje maeneo yenu(iwe town) nikipendezwa nayo tubadilishane, idara sekondari
 
Wana jukwaa hivi ajira za ualimu wa sayansi na hesabu wanazotarajia kuzitoa serikalini ni 4900 au 6000?maana kuna mkanganyiko wa mawaziri wawili kila mmoja na idadi yake[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo Sumbawanga Manispaa, nataka kuhama kwenda baadhi ya mikoa Tanzania, nitajie mkoa uliopo kama unauhitaji wa kuja huku nikipenda ulipo tutabadiliahana, idara elimu msingi, NAHAMA kwa sababu binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom