NAOMBA USHAURI KUTOKA KWENU WALIMU.

Habari za join wakuu. Nina mdogo wangu amemaliza darasa la saba mwaka huu. Ni miongoni mwa waliofauru mitihani yao. Amemaliza shule msingi Kahama ninahitaji kumfanyia utaratibu ili aje asomee Dar es salaam na mm najua hawezi chaguliwa nje ya mkoa wake kutokana na ongezeko la shule za kata. Ni hatua gani ninatakiwa kuzifuata na ninapaswa kufanya utaratibu gani? Mawazo yenu ni ya msingi sana
 
Inabidi usubili achaguliwe alafu uende ofisi ya elimu mkoa kuomba abadilishiwe kituo.
Hii nikutokana na kidato cha kwanza kwa miezi sita ya mwanzo huwa wanabadilishiwa vituo toka ofisini na siyo uhamisho
 
ANAYE TAKA KUJA MWANZA JIJI.

idara ya sekondari mimi nije dodoma chamwino
 
ANAYE TAKA KUJA MWANZA JIJI

Mimi niende DODOMA CHAMWINO
0786446650
 
Habari wanaJF,

Mimi ni Mwalimu idara ya Msingi. Nahitaji kuhamia halmashauri ya Kigamboni.

Mwenye namba ya mtu aliyeko TAMISEMI. Naomba tuwasiliane kwa namba hizi:

+255716085758
+255767112221

Ahsante.
 
Fuata taratibu mimi nina namba za mlinzi wa Tamisemi ila sijui kama zitakusaidia! By the way Kigamboni ni mjini ulipaswa kuwa mjanza zaidi ya hapa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…