Njoo wilaya ya Meatu Mkoa wa Simyu idara sekondari,mwalimu aje wilaya yyt mkoa wa Mbeya
0624274356
 
Walimu wabaguzi Sana .hakuna naaetaka kijijini wa mjini na watu wao wa vijijini na watu wao
 
Naitwa mwl Salum Kamolekla nafundisha shule ya msingi wilayani Maswa mkoani Simiyu. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mikoa ifuatayo.
MOROGORO
PWANI
halmashauri yoyote
kwa aliye tayari naomba tuwasiliane kwa no zifuatazo
0653 543 143
0759 543 143


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…