WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo wilaya ya Meatu Mkoa wa Simyu idara sekondari,mwalimu aje wilaya yyt mkoa wa Mbeya
0624274356
 
Naitwa mwl Salum Kamolekla nafundisha shule ya msingi wilayani Maswa mkoani Simiyu. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mikoa ifuatayo.
MOROGORO
PWANI
halmashauri yoyote
kwa aliye tayari naomba tuwasiliane kwa no zifuatazo
0653 543 143
0759 543 143


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom