WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Aisee sisi tunaotaka kuchomoka Lindi mbona kazi sana kupata mtu wa kubadilishana nae hivi ni kwanini ndo tuseme watu hawapataki Lindi jamani hata wenye kwao hamtaki kurudi?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Sio wa Lindi tu ni maeneo mengi iko hivo, pole sana. Nenda kapige kitabu achana na Mambo ya uhamisho
 
Idala ya sekondari Kama ni mwalimu wa sayansi kuhama au kubadilishana hawawezi tu kukuambia no, ila utazungushwa mpaka utasanda mwenyewe.
 
Hellow jf members. Natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi idara ya elimu msingi. Yeye aje iringa DC mimi niende sumbawanga mjin
 
Back
Top Bottom