WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Habari!! Walimu kuna Mwalimu yupo dodoma DC (Mpwapwa) idara ya sekondari,masomo Physics na mathematics anataka kwenda Morogoro mjini.

Mawasiliano yake 0714111061
 
NJOO MANISPAA YA MUSOMA NIJE MKOA WA MBEYA AU SONGWE. ELIMU SEKONDARI
(ENGLISH NA KISWAHILI). 0735877916
 
Wadau,aliyepo Songea anataka kuja Kilolo Iringa tafadhali anicheki PM.Kumbuka hata wa Mororgoro mnaweza mkaja coz Kama mnavyojua Ilula ipo njiani kuelekea Moro.
Ukisikia anayetaka kuja songea kutoka singida,manyara au arusha nistue
 
Njoo Mbeya DC tuje Njombe idara ni Msingi na Secondary, means muwe double
 
  • Thanks
Reactions: GER
Mimi ni school laboratory technician niko mkoa wa Kagera wilaya ya Kyerwa natafuta wa kubadilishana nae kutoka mkoa wowote ulio karibu na Dar-es-salam, hususani Morogoro na Pwani.
 
Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote (Idara ya sekondari)
 
Samahani naomba kujuzwa, kuna binti yangu amekamilisha taratibu za uhamisho toka 25/februar 2020 yaan barua zimeenda Tamisemi, ila mpaka leo kimya hakuna jibu lolote kutoka Tamisemi, je ni hatua zipi zinapaswa kuchukuliwa?
 
Back
Top Bottom