Sio wa Lindi tu ni maeneo mengi iko hivo, pole sana. Nenda kapige kitabu achana na Mambo ya uhamishoAisee sisi tunaotaka kuchomoka Lindi mbona kazi sana kupata mtu wa kubadilishana nae hivi ni kwanini ndo tuseme watu hawapataki Lindi jamani hata wenye kwao hamtaki kurudi?
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mwanza sehemu gani? Njoo DarMi nipo Mwanza nataka kuhamia Moro.
Mwanza sehemu gani,mm niko Ubungo nataka kuja Mwanzamimi nipo mwanza je unahitaji.
Njoo iringa kakaMimi ni mwalimu nipo almashauri ya wilaya ya ubungo Dar es salam idara ya msingi nataka kubadilishana ma mtu aliyeko mikoa ifuatayo Mwanza , Tanga namba za simu ni 0713533999
Kwa anayehitaji Rukwa nije Njombe
Njoo geita Ni karibu sana na mwanzaMimi ni mwalimu nipo almashauri ya wilaya ya ubungo Dar es salam idara ya msingi nataka kubadilishana ma mtu aliyeko mikoa ifuatayo Mwanza , Tanga namba za simu ni 0713533999
Njoo Bumbuli ,lushoto aje ubungo dar Kama upo tayari njoo PM nikupe connectionMimi ni mwalimu nipo almashauri ya wilaya ya ubungo Dar es salam idara ya msingi nataka kubadilishana ma mtu aliyeko mikoa ifuatayo Mwanza , Tanga namba za simu ni 0713533999
Piga izo namba za simu tuongeeNjoo Bumbuli ,lushoto aje ubungo dar Kama upo tayari njoo PM nikupe connection
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo Bumbuli DC aje ubungo ubungo,kibaha,chalinze,bagamoyo
Idara msingi fanya chap niku connect naye
Sent using Jamii Forums mobile app
PoaKuna namba za simu hapo nimeweka piga tafadhali au mpe izo namba anipigie
HahahahaNjoo geita Ni karibu sana na mwanza
Njoo Tanga Aje hukoNjoo Ubungo DSM nije Mwanza jiji,idara msingi.