Anaehitaji kuja Maswa-Simiyu idara ya elimu msingi tubadilishane mimi niende Mbeya, Katavi, au Geita, Kagera njoo PM. Atakaetaka kuja Maswa-Simiyu kutokea mkoa wowote usisite kuwasilina pia.
 
Naitwa Mwalimu Creticia D. Manda wa shule ya msingi mbwanga iliyopo manispaa ya jiji la Dodoma.

Nahitaji mtu wa kubadilishana naye, yeye aje manispaa ya jiji la dodoma na mimi niende manispaa ya Shinyanga.

Aliye tayari ani-pm
Njoo igunga
 
Njoo dodoma kondoa DC nije pwani,Moro,Tanga au dar
Elimu ya msingi
0676955254
0787352211
0766064652
 
Njoo dodoma kondoa DC nije pwani,Moro,Tanga au dar
Shule ya msingi mkekena
0676955254
0787352211
0766064
 
Mimi ni mwalimu niko wilaya ya Mufindi, iringa idara ya elimu secondary. Ninatafuta mtu wa kubadilishana naye kwenda wilaya ya Missenyi-kagera. Nafundisha english na kiswahili. Ambaye yuko tayari anitafute 0679422079.
 
Habari za muda huu ndugu zangu.
Mimi ni mwalimu wa masomo ya bailojia (Biology) na kemia (Chemistry) kwa ngazi ya kidato cha 1 mpaka cha 4.

Hivyo kutokana na mzunguko wa materials kuwa bado mgumu kwa baadhi ya wanafunzi na walimu pia hasa kwa masomo tajwa hapo juu hivyo nimeona bora niweze kuandaa notes ambazo ni mzuri na rahisi kwa kuzitumia katika kujisome kwa wanafunzi na kufundishia kwa walimu na notes zinauzwa kwa gharama ya sh.500 kwa kila topic kwa njia ya PDF.
Kwa maelekezo mengi tafadhali piga 0628707503 pia namba hii inapatikana WhatsApp au nitafute telegram group @moodnotes1

Ahsante
Sir. Moodjuta
 
Njoo Karatu mjini aende Mbeya jiji au vijijini Phyz/Maths.
Wairaq mukuje kwenu.
 
Wanaotaka kuja Rungwe Dc nije Mbeya vijijin au Mbeya town.idara sec
Na.0623107931
 
Naitwa Mwalimu Creticia D. Manda wa shule ya msingi mbwanga iliyopo manispaa ya jiji la Dodoma.

Nahitaji mtu wa kubadilishana naye, yeye aje manispaa ya jiji la dodoma na mimi niende manispaa ya Shinyanga.

Aliye tayari ani-pm
Njooo maswa-simiyu nije dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…