Anaetaka kuja mbeya jiji niende kaskazini mwa nchi
Hahahahah wewe baki huko huko.Niko Ludewa Njombe,njoo nije Rukwa idara Sec. Niko karibu na Ziwa Nyasa,kwenda Kyela ukipanda Meli ni elfu 6 mpaka Kyela. 0622182501.
ArushaMakusudio yako ni kaskazini ipi? Kwa kuwa kuna kaskazini yenyewe, kaskazini magharibi na kaskazini mashariki kama Tanga Jiji.
0755854402
Oyaa njoo Singida nije songea, secondary english 0769816692Anayetaka kuja songea kutoka singida idara sekondar anicheki