WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwalimu wa sekondari anayetaka kuja Arusha longido. mie niende sehemu zifuatazo.

Songwe
Rukwa
Iringa
Mbeya
Iringa
Morogoro. tutafutane tuu
 
Haya sasa, Njoo Mbarali Mbeya mimi nije Dar au around Pwani ( Kisarawe, Kibaha, Chalinze, Mkuranga, Rufiji, Bagamoyo)

Idara ya sekondari, somo Physics....

Njoo ulime mpunga Mbarali
 
Back
Top Bottom