WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Habari gani ndugu zangu,

Mimi ni mwalimu nimekuwa nikifanya mchakato wakubadilishana vituo vya kazi na mwenzangu tangu mwaka jana na mwezi uliopita TAMISEMI wametoa majina yetu (awamu ya tatu) kwenye tovuti yao...
Mie kwanza mkurugenzi kaapa kutonipa kibari kisa niliandika barua Moja Kwa Moja Kwa katibu Mkuu kiongozi na viambata Bada ya kuona delay kubwa ,Sasa kibari anacho wiki 3 Sasa hataki kutoa apa nmechanganikiwa kabsaaaa
 
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mim ni mwalimu wa masomo ya sayansi, kituo changu cha kazi ni wilaya ya HAI mkoani Kilimanjaro, natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo, nahitaji kusogea nyumbani mkoa wa Mara wilaya ya Tarime kwa sababu za kifamilia.

Mwenye kubadilishana na mim tafadhali tuwasiliane kwa namba : 0744218735
 
Wilaya za Kilimanjaro kiukweli kuishi yataka moyo
 
Mwalimu wa sekondari anayetaka kuja Arusha longido. mie niende sehemu zifuatazo.

Songwe
Rukwa
Iringa
Mbeya
Morogoro. tutafutane tuu
 
Back
Top Bottom