selemangrace346
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 463
- 634
Idara ipi sasa mkuu na una masomo gn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idara ipi sasa mkuu na una masomo gn?
Ungekuwa Dodoma tungebadilishana mm nipo mwanza nafundisha Mathe na IT1. Njoo Manyara-Hanang' aje Mwanza(wilaya yoyote)- Hisabati, TEHAMA.
2. Njoo Manyara-Hanang' aje Arusha(wilaya yoyote)- Historia,
Mie kwanza mkurugenzi kaapa kutonipa kibari kisa niliandika barua Moja Kwa Moja Kwa katibu Mkuu kiongozi na viambata Bada ya kuona delay kubwa ,Sasa kibari anacho wiki 3 Sasa hataki kutoa apa nmechanganikiwa kabsaaaaHabari gani ndugu zangu,
Mimi ni mwalimu nimekuwa nikifanya mchakato wakubadilishana vituo vya kazi na mwenzangu tangu mwaka jana na mwezi uliopita TAMISEMI wametoa majina yetu (awamu ya tatu) kwenye tovuti yao...
Wilaya za Kilimanjaro kiukweli kuishi yataka moyoNawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mim ni mwalimu wa masomo ya sayansi, kituo changu cha kazi ni wilaya ya HAI mkoani Kilimanjaro, natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo, nahitaji kusogea nyumbani mkoa wa Mara wilaya ya Tarime kwa sababu za kifamilia.
Mwenye kubadilishana na mim tafadhali tuwasiliane kwa namba : 0744218735
KwaniniWilaya za Kilimanjaro kiukweli kuishi yataka moyo
Imekaa kama MAHAME, imejaa milima, vumbi, tope mitelemko, na baridi.Kwanini
Njoo maswa _simiyu nije mlele. Ni jirani sana. Na mijinuliyotajaNjoo Katavi_ Mlele nije Musoma mji au Bunda mji.
Idara Msingi
Anaweza kuja Moro DC ?Walimu anaetaka kuja Arusha - Meru abadilishane na mtu anayetaka kuja Pwani- Bagamoyo.