WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mimi nipo Halmashauri ya Mlimba wilaya Kilombero idara ya Sekondari

Natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kutoka manispaa ya Singida yeye aje Mlimba mimi niende manispaa ya Singida

Ukiridhia Naomba unipm inbox
 
IDARA ELIMU MSINGI NJOO ARUSHA - NGORONGORO
MIMI NIJE
TANGA MJINI
PANGANI
MUHEZA
KOROGWE
DSM
PWANI
CHALINZE
KIBAHA
KISARAWE
MOROGORO MJI
0628747601./0714536075
 
mwalimu shule ya msingi ,yupo mkinga Tanga anataka wa kubadilishana nae aliepo mkoa wa kilimanjaro wilaya yoyote, au Arusha DC, . kwa mawasiliano tumia whatsap no 0756021191.
 
Back
Top Bottom