WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Bukombe_Geita nije
■Dar
■Dodoma Mjini
■Morogoro Mjini
■Pwani-Kibaha,Mkuranga
Bukombe ni jirani na Chato,Biharamulo,Ngara,Kibondo,Kahama,njoo uchimbe dhahabu,uline asali,ulime Mpunga na Mahindi,Njoo ule samaki[emoji226] wa ziwa Victoria
Fursa huku zimejaa pomoni
 
Kuna mahala nimeliona

Tangazo: natafuta wa kubadilisha kituo idara ya elimu sekondari aje mbeya mji mdogo wa mbalizi nauli 450/= mpaka mbeya jiji nije morogoro manispaa
Mawasiliano 0717 370274
0625 761228
 
Walimu wenzangu shule hiyo una mtoto kamaliza shule yupo tu home, wewe mwenyewe km unataka kuongeza ujuzi karibu sana
Screenshot_20211027-162153_GBWhatsApp.jpg
 
Mwalimu wa kubadilishana nae aje Mara wilaya ya Rorya nije Dodoma , Mwanza ,Tanga au Moro anicheki 0625803444

Idara : MSINGI /PRIMARY
 
Ndugu yangu anatafuta wa kubadilishana naye yupo Karatu anataka kwenda Meru.
Idara sekondari.

Yupo mjini kabisa huko Karatu
 
Back
Top Bottom