Walimu wenzangu.
Idara Msingi
Njoo Arusha (NGORONGORO) mimi nije Tanga, muheza, korogwe, pangani, PWANI, kibaha, kisarawe, Dsm wilaya yoyote
+255 628 747 601 And 0714536075

Sent from my M2010J19SG using JamiiForums mobile app
 
Njoo Bukombe_Geita nije
■Dar
■Dodoma Mjini
■Morogoro Mjini
■Pwani-Kibaha,Mkuranga
Bukombe ni jirani na Chato,Biharamulo,Ngara,Kibondo,Kahama,njoo uchimbe dhahabu,uline asali,ulime Mpunga na Mahindi,Njoo ule samaki[emoji226] wa ziwa Victoria
Fursa huku zimejaa pomoni
 
Kuna mahala nimeliona

Tangazo: natafuta wa kubadilisha kituo idara ya elimu sekondari aje mbeya mji mdogo wa mbalizi nauli 450/= mpaka mbeya jiji nije morogoro manispaa
Mawasiliano 0717 370274
0625 761228
 
Mwalimu wa kubadilishana nae aje Mara wilaya ya Rorya nije Dodoma , Mwanza ,Tanga au Moro anicheki 0625803444

Idara : MSINGI /PRIMARY
 
Ndugu yangu anatafuta wa kubadilishana naye yupo Karatu anataka kwenda Meru.
Idara sekondari.

Yupo mjini kabisa huko Karatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…