Kwani Ralimu eh njooeni.. basi pwani mafia nije chalinze..mkuranga..kibaha dc. Hata tanga basi.
Njoo Iringa
Walimu eh njooeni.. basi pwani mafia nije chalinze..mkuranga..kibaha dc. Hata tanga basi.
Njoo Iringa, nije huko
 
Kama unatafuta wa kubadilishana naye, na unahitaji kihamia mpanda manispaa nawe upo Tabora manispaa, Mungu amejibu maombi yako.

Njoo 0765 944 412
 

Komaa uko uko kwa Majaliwa sijui Nyandagala [emoji23][emoji23] kuna vumbi uko balaa ata ukinipa 5M na nauli uko siji napajua vizuri sana kwa wamwela
 
Haya fanyeni fasta namuhamisha mke wangu mtarajiwa kutoka Lushoto aje tanga jiji,kibaha dc,kibaha town,moro town

Fanyeni fasts nishatoa mahali wasambaa wananichapia demu wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…