Nataka kutoka Sengerema Mwanza kuja Mbeya wilaya yoyote.namba 0753095184
 
Anatafutwa mwalimu Sekondari, wakubadilishana, atoke singida mjini aende kagera, karagwe, na wa karagwe aende Singida mjini.
0759 08 69 50.
 
Njoo ngara Mimi niende karagwe-kagera idara secondary
Ngara ni wilaya moja ya ajabu Sana aiseee,wahangaza hawataki kabisa kurudi kwao yaan Kama upo ngara pambana kivingine ili utoke Ila kusubiria wa kubadirishana nae utasota Sana.

Hiyo wilaya haina utofauti na wilaya nyingi za kigoma ,yaan ni wilaya ngumu Sana kimaisha ,hivyo watu wa huko wakipangwa mikoa mingine na wakishajua utofaut uliopo na kwao Basi wanaona kabisa walikua gizani ,hivyo kuwambia warudi hawawez kukuelewa kabisa.

Anza kupambana juu kwa juu huko tamisemi Ila usiwe na mkono mfupi ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…