WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Habari, Natafta mwl wa kubadilishana aje sumbawanga manispaa mimi niende bukoba elimu secondary
0622133723
 
Nimeanza kufuatilia huu uzi tokea 2019 lakini ajabu ni kwamba sijawahi pata mtu anataka kuja huku nilipo... Cha kushangaza zaidi mbali ya mimi kutokupata lakini hata kumuona tu huyo anayetaka kuja Ruangwa sijawahi!
 
Njoo Ilala Jiji Dar es salaam Mimi nije Mwanza Ilemela. Idara secondary, masomo History & Kiswahili
Nicheki inbox Kwa mawasiliano zaidi
 
Back
Top Bottom