WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Fuata huu ushauri wangu. Hao vishoka wote waliokuwa wanafanya huo ujanja, hawapo tena pale Wizarani.

Siku hizi kuna mfumo mpya, ambao utakudaka mapema tu iwapo utatumia hiyo njia ya mkato. Usikubali mtu akurubuni kwa kumpa kiasi chochote kile cha fedha ili upate hicho kibali cha uhamisho kutoka juu. Utatepeliwa.
Ulianza lini huu utaratibu mkuu?
Samahani lkn maana kuna jamaa yangu karuka mwezi March kutoka Mkoa x kwenda Mkoa Y kwa njia hiyo.

BTW,hata ukifuata utaratibu pia vaa sharti la mikono mirefu.
 
Tangu 2020. Kama hajapata mushkeri wowote, basi jitahidi umshauri kuhamisha mshahara haraka iwezekanavyo. Na atambue fika kuna kuhamisha taarifa zake binafsi (data sheet), na kuhamisha mshahara. Na akikutana na Approver mkuda kwenye Mkoa anakokwenda, basi imekula kwake.

Maana mfumo utahitaji taarifa zake zote, ikiwemo barua yake ya uhamisho, na iliyosainiwa na hao vigogo niliowataja hapo juu.
 
Yaan kwa changamoto za upitishwaji wa barua huko halmashauri hii shughuli itachukua mda mrefu San. No way, ngoja nijaribu. Nimejarb kuongea na wakubwa flan ila majibu nikwamba ni either kubadilishana jituo au kuandika barua yenye sababu zinazoeleweka.
 
Fuata huu ushauri wangu. Hao vishoka wote waliokuwa wanafanya huo ujanja, hawapo tena pale Wizarani.

Siku hizi kuna mfumo mpya, ambao utakudaka mapema tu iwapo utatumia hiyo njia ya mkato. Usikubali mtu akurubuni kwa kumpa kiasi chochote kile cha fedha ili upate hicho kibali cha uhamisho kutoka juu. Utatepeliwa.
Ulianza lini huu utaratibu mkuu?
Samahani lkn maana kuna jamaa yangu karuka mwezi March kutoka Mkoa x kwenda Mkoa Y kwa njia hiyo.

BTW,hata ukifuata utaratibu pia vaa sharti la mikono mirefu.
Tangu 2020. Kama hajapata mushkeri wowote, basi jitahidi umshauri kuhamisha mshahara haraka iwezekanavyo. Na atambue fika kuna kuhamisha taarifa zake binafsi (data sheet), na kuhamisha mshahara. Na akikutana na Approver mkuda kwenye Mkoa anakokwenda, basi imekula kwake.

Maana mfumo utahitaji taarifa zake zote, ikiwemo barua yake ya uhamisho, na iliyodainiwa na hao vigogo niliowataja hapo juu.
Vyema mkuu.
 
Kwa niaba: Njoo Kilimanjaro Same Mjini nije Mwanza, Geita au Shinyanga.
Idara: Msingi Elimu Maalum. Shule iko mjini Moshi-Tanga Road.
 
Njoo bunda Nije dodoma mjin ,chamwino au mpwapwa , dar ,kisarawe ,chalinze na bagamoyo au mkuranga ...idara sec masomo English and literature in English karibuni 0654708118
 
Hivi kuhama kuna zingatia vigezo gani ?
Unaweza kuwa mpya kwenye ajira na ukapata nafasi ya kuhama ?
 
Mwalimu imepata ajira leo tu unawaza kuhama!!!! Nenda katumikie taifa, bt ukihitaji kweli kuhama tena fasta kwenda unapotaka andaa kitu kama milioni hvi.
 
Back
Top Bottom