WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Habar wadau wa elimu, nahitajii mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi, aje tabora mim nije ruvuma,mbeya, katavi au njombe
Kama yupo naomba anitafute kwa namba hizi 0758055500,
0715716304
 
Daa bwanae!!!!

Kuna mtu anamtafuta mwalimu(grade IIIA) wa kubadilishana nae yeye yupo dodoma wilaya ya chamwino, yeye anataka aje dsm iwe ilala, kinondoni, temeke, ama hata pwani maeneo ya kibaha, lakn pia morogoro sio mbaya!!!!

Plz ukiwa na newz nistue kaka!!
Ahsante sana!!
Niko mkuranga nataka chamwino kama yuko serious tuwasiliane namba yangu ni 0694357882
 
Wakuu msaada tafadhali.
Naomba kwa anayehitaji kuhamia Chamwino kwa kubadilishana toka wilaya yoyote ya Mkoa wa Dar es Salaam,Wilaya ya Kibaha na Mkuranga tafadhali sana naomba ani PM.

Mwalimu anayetafutwa ni wa Grade A. Nawashukuruni sana
Mm ni wa grade IIIA Niko mkuranga Pwani
 
Wakuu msaada tafadhali.
Naomba kwa anayehitaji kuhamia Chamwino kwa kubadilishana toka wilaya yoyote ya Mkoa wa Dar es Salaam,Wilaya ya Kibaha na Mkuranga tafadhali sana naomba ani PM.

Mwalimu anayetafutwa ni wa Grade A. Nawashukuruni sana
Mawasiliano yangu ni 0694357882
 
Acha utahila apa sio Facebook tumia akili ulimbukeni utakuponza afu naona umevamia jamiiforum hunijui wewe tena Kaa Kwa adabu.
Comment kwa adabu unapomuelewesha mtu lkn kwa kutumia ubabe sidhani kama ni njia sahihi. Matapeli tunajua wapo lkn mueleweshe mtu taratibu ndugu, pia huu ni mtandao wa wasomi matusi ya nn kama huna shule?

Bad enough unanitishia kwani natumia pesa yako ya bando?
Mbona umelivalia njuga suala hili au ww ndio tapeli mwenyewe?

Watu walioliona tangazo wamenyamaza ila kwako linawasha sio?
Mm sio wa kwanza kuweka mawasiliano yangu hapa so, kama halikuhusu pita hivi eeh.
 
Back
Top Bottom