WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo morogoro Malinyi nije mkoa wa Ruvuma wilaya ya mbinga, songea municipal, NYASA DC
Idara ya Msingi
 
Njoo Mbeya -Rungwe mimi niende Ngara-Kagera .
Kuna walimu wawili wanahitajika mmoja sec mwingine msingi wote wapo Rungwe wanataka kurudi kwao Uhangazani Ngara-Kagera
 
Walimu eeh !INFORMATION IS POWER!
Serikali inawapenda sana nendeni mkachungulie website nadhani ya TEMISEMI inakuruhusu kuomba uhamisho kwenda popote Tanzania online kazi kwenu sasa.
Mbona hakuna sehemu hiyo ya uhamisho? Ama bado wako kwenye majalibio.
 
Walimu eeh !INFORMATION IS POWER!
Serikali inawapenda sana nendeni mkachungulie website nadhani ya TEMISEMI inakuruhusu kuomba uhamisho kwenda popote Tanzania online kazi kwenu sasa.
Itakuwa rahisi sana hii
 
Njoo Mbeya -Rungwe mimi niende Ngara-Kagera .
Kuna walimu wawili wanahitajika mmoja sec mwingine msingi wote wapo Rungwe wanataka kurudi kwao Uhangazani Ngara-Kagera
Kwa niaba ya Ndugu yangu, naomba mawasiliano ili tuweze weka mambo sawa.
 
Kwa niaba njo misenyi , nije arusha , moshi au shinyanga
Idara sec masomo chemistry and physics
 
Njoo KILIMANJARO HAI nije morogoro mjini, bagamoyo au chalinze.Masomo Phy na chem
 
Oi njoo kigoma mjini mkuu nakuongezea na 600k idara secondary (science)
 
Back
Top Bottom