Wadau mimi ni mwl mpya nimepangiwa kuripoti wilaya ya lushoto Tanga. Ninatafuta mwl yeyote (degree holder) aliyepangwa wilaya ya kasulu au kibondo mkoani kigoma tubadilishane naye aende lushoto mimi nirudi kibondo au kasulu. Mawasiliano 0758290626
 
Hivi na wewe ni mwalimu? Unafahamu neno kupangwa linatumikaje kwenye lugha ya kiswahili? Kila lakheri mkuu we nenda tu ukaandae wanafunzi wanaomaliza std 7 bila kujuwa kuandika.
 
mkuu ebu nipe location ya ofisi za halmashauri ya Tabora vijijin, shem wako kapangiwa huko mi nmewah kuishi tabora mjini kidogo wakati nasoma Milambo.
 
mkuu ebu nipe location ya ofisi za halmashauri ya Tabora vijijin, shem wako kapangiwa huko mi nmewah kuishi tabora mjini kidogo wakati nasoma Milambo.

ofisi za tbr vijijini zipo barabara ya tbr-mwanza umbali wa km 55 kutoka tabora mjin ila shughuli nyingi zinafanyikia mjini.kijiji cha isikizya.mabama,isikizya,na ilolangulu hizi ndio kata nzuri ktk wilaya ya tbr vijijini.
 
Wewe nawe huna lolote..ulichokiandika hakistahili kutumika kumsahihisha mwingine.
 
Mi nipo Mwanza, ningependa kujua Dodoma umepangwa wilaya gani, mi nimepangwa Mwanza wilaya ya Magu. Nitafute kwa cm namba 0752796133.
 
naitwa steven msafiri. nimepangwa mara musoma(v) natafuta mwalimu wa kubadilishana nae mkoa kama umepangwa tanga, kilimanjaro, arusha na morogoro, namba zangu ni 0785508515/ naomba sana tusaidiane walimu wenzangu.
 
Mimi ni mwalimu ambaye nafanya kazi mkoa wa njombe halimashauri ya mji natafuta mtu wa kubadilishana naye toka mkoa wa mbeya -mbeya jiji. mawasiliano-0764600900
 
nimepangwa kufundisha Bariadi naomba tubadilishane na yeyote aliyepangwa wilaya yeyote mikoa ya Mbeya, iringa na Rukwa. 0767085589
 
ofisi za tbr vijijini zipo barabara ya tbr-mwanza umbali wa km 55 kutoka tabora mjin ila shughuli nyingi zinafanyikia mjini.kijiji cha isikizya.mabama,isikizya,na ilolangulu hizi ndio kata nzuri ktk wilaya ya tbr vijijini.

asante mkuu Ben, nmechukua no. Yako ntakuchek kwa info zaid, Larusai mux
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…