WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Idara sec,anayetaka kuja Kinondoni manispaa nije Moshi Mjini.pm
 
jamani me nataka wa kuja mbulu manyara me niende Mwanza. k/njaro au arusha
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari hapa wilaya ya kyela, mbeya natafuta mtu wa kubadilishana nae aje huku kyela mimi nije morogoro hasa kilosa, mvomero au morogoro mjini.
thanks
 
Karatu hapa kwa aliyoko mwanza /ilemela ama magu tuwasiliane 0754039566
 
"Mkataa kwao mtumwa" wewe mzawa wa Kasulu njoo Kasulu mjini idara ya sekondari mimi nirudi kwetu Morogoro jirani na nyumbani Dodoma,Tanga,Pwani na Dar-es salaam.#0714963829 .KARIBUNI MPATE MAWESE,MIGEBUKA na DAGAA WA KIGOMA.
 
Anayetaka kuja LUDEWA,kata ya luana km 9 kufika ludewa mjin,barabara ipo,maji yanapatikana na umeme ktk kata hii hadi shulen upo na nyumba za walm zipo idara msing tuwasiliane awe anatokea tanga wilaya yeyote,mtwara wilaya yeyote 0753884902
 
NIPO MASASI Idara ya shule za msingi
nataka kubadilishana na mtu aliye Mkoa wa ARUSHA,KILIMANJARO
wewe wa kusini uliye kaskazini tuwasiliane uje kusini na mimi nije kaskazini gharama ndogo ndogo za uhamisho nitachangia

mkumbwagm45@gmail.com
 
Wadau, mwalimu wa sekondari shule iliyopo manispaa ya Iringa anaomba kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu aliye Dar, hasa manispaa ya Ilala, anayependa kuhamia Iringa mjin (manispaa), ikiwa unapenda tuwasiliane kwa taarifa zaidi. Ni PM
 
Mwalimu wa sekondari shule iliyopo Iringa Manispaa, anaomba kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu aliye Dar, hasa manispaa ya Ilala. Anayependa kuhamia Iringa mjini (manispaa) ani PM kwa mazungumzo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…