WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mimi ni mwalim wa Secondary nipo Isaka secondary school iliyopo halmashauri ya Msalala-Kahama,Shinyanga maeneo haya huduma zote za umeme, usafiri, mawasiliano, maji, hospital zipo nataka kusogea karibu na nyumbani hivyo mwlim aliye wilaya ya Same-Kilimanjaro au wilaya zilizoko Mkoa wa Kilimanjaro tuwasiliane, 0754033018, 0654495591
 
Mimi ni mwalimu wa shupe ya msingi nipo Lushoto natafuta mtu wa kubadilishana nae aliepo Moshi au Arusha
 
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nipo Lushoto natafuta mtu wa kubadilishana nae aliepo Moshi au Arusha
 
Nipo Kilosa Morogoro, ni center kabisa aliyepo tayar kutoka dar, mkuranga au bagamoyo tubadilishane.
Idara ya Secondary.
 
Njoo TABORA URAMBO MJINI, nije wilaya yoyote kati ya mikoa ya DODOMA,MOROGORO,IRINGA,NJOMBE AU MBEYA. 0688487920
 
Njooni sumbawanga nije iringa au mbeya au njombe wilaya yoyote idara sekondari... Tuwasiliane 0757409390
 
ok! ila mawasiliano ya cm muhimu kama upo siliasi na suala hili
Niko serious kabisa ila kutokana na hali sasa siyo vyema kuandika namba yangu ya simu hapa,ndiyo maana kama unaweza tutumie zaid kwanza PM na huko ndiko tutapeana namba za simu.
 
Njoo RUVUMA nije IRINGA, MBEYA AU MOROGORO Idara ya sekondari, 0788325376 AU 0766154595
 
nipo Manyoni singida mwl. Idala ya sekondari nahitaji kwenda Ilemela, Nyamagana, Geita au Musoma manispaa

njoo musoma v ni pazuri sana hasa hapa ninapofundisha Nichek 0687 824194
 
Wadau mm ni mwalimu wa msingi ktk halmashauri ya kilindi-tanga natafuta mwalimu wa kubadilishana naye awe ametoka halmashauri ya lushoto au bumbuli.nitafute kwa 0683750987
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…